Tuesday, 17 September 2013

SHEIKH PONDA ANYIMWA DHAMANA KESI YAKE YA KHAIRISHWA



Picha Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.


Sheikh Ponda alishitakiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano wa Hadhara mwezi uliyopita.


Kesi hiyo imehairishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013.

Sheikh Ponda amenyimwa Dhamana na amerudishwa Rumande mpaka hapo itakapotaja tena kesi hiyo.

0 comments