mimi

Tembezi Za Msuni ni blog binafsi inayosimamiwa na Abdallah H.I Sulayaman (Abood Msuni) ambaye pia ni mmiliki wa Aboodmsuni Network.

Tembezi Za Msuni ipo kwa ajili ya kuripoti taarifa mbalimbali anazo kumbana nazo Msuni katika matembezi yake ya Online (kwenye mitandao) ama Offline (nnje ya mitandao).

Tembezi Za Msuni ilianza kufanya kazi mara baada ya blog ya Aboodmsuni Network kuvuliwa vazi lakuwa blog binafsi ya Msuni na kuwa blog ya kushughulikia shughuli mbalimbali za Aboodmsuni Network.

MSUNI NI NANI

Msuni ni muhitimu wa stashahada (Diploma) katika fani ya Information Technology, katika chuo chaAl maktoum colloge of Engineering and Technology (AMCET) mwaka 2014. 

Msuni anasimamia shughuli zote za Aboodmsuni Network ambazo ni usimamizi wa blog ya Sport In Bongo, Chama langu ni Azam FC na Aboodmsuni Network blog, sambamba na application ya simu ya SIB-90.

Aboodmsuni Network ilianza shughuli zake februari 2011, ikiwa ni sehemu ambayo Msuni alikuwa akifanya majaribio ya kile anachojiufunza, na kile ambacho anataka kushare na watu wengine.

Jina kamili la Msuni ni Abdallah Hamdun Ibrahim Sulayman na alipokuwa shule ya msingi Ushindi iliopo Mikocheni B Dar es salaam alikuwa anafahamika kwa jina la Dogo.

WASILIANA NA MSUNI

namba ya simu: +255 765578851 ama +255 715602531
barua pepe: aboodmsuni@gmail.com