Thursday 30 January 2014

UNGEKUWA WEW UNGEFANYA NINI

Na Masanja Mkandamizaji

KIPOFU ALIMPIGA MTU MPA AKAMUUA,
AKAPELEKWA MAHAKAMANII...

HAKIMU: "Kwa nini umefanya ukatili namna hii?

KIPOFU: "Mheshimiwa Hakimu, marehemu aliniambia mwenyewe "NIPIGE UONE"
Kwa vile nilikuwa na hamu ya kuona nikampiga kwa nguvu zangu zote, bahati mbaya akafariki.

Ungekuwa wewe ndiyo hakimu ungefanyaje?

0 comments