Bondia nyota nchini, Francis Cheka 'SMG' amehukumiwa miaka mitatu jela katika Mahakama ya mkoani Morogoro.
Pamoja na kifungo cha miaka mitatu, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakamani hiyo, Said Msuya amemhukumu Cheka kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kumaliza kifungo hicho.
Cheka amepatikana na hatia ya shambulio dhidi ya aliyekuwa meneja wa baa yake, Bahati Kibanda aliye mshambulia Julai 2, mwaka jana katika Ukumbi wa Vijana Social aliokuwa ame ukodi kwa ajili ya kuendesha shughuli za baa zilizokuwa zina simamiwa na KIbanda.
Kutokana na kukutwa na hatia, Cheka ame hukumiwa kwenda jela kwa muda huo na imeelezwa tayari ameshapelekwa kwenye gereza mkoani humo .
Chanzo: Saleh jembe

0 comments