Katika kikao hicho Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alipokezwa uenyekiti wa Jumuiya hiyo baada ya Uhuru Kenyatta wa Kenya .
Miongoni mwa mambo yaliojadiliwa ni mataifa ya Somali na Sudan Kusini ambayo yatasubiri kwa mda mrefu kwa wao kujiunga na jamii hiyo.
Vilevile mpango wa kuunda serikali ya Shirikisho la Afrika mashariki pia ulijadiliwa. Nchi wanachama zinatarajiwa kuwateua wataalamu kuanza kuunda katiba ili kuidhinisha serikali hiyo ya shirikisho.
0 comments