Sunday 28 February 2016

MAKONDA: WALIMU WA DAR KUPANDA DALALA BURE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda leo katangaza utaratibu mpya wa Walimu jijini Dar es Salaam kupanda bure daladala, hiyo imekuja baada ya kukubaliana na Madereva na wamiliki wa daladala.

Mwalimu mwenye kitambulisho maalum atapanda daladala bure kuanzia saa 05:30 - 8:00 A.M na saa 15:00 - 17:00 P.M.

0 comments