Tuesday, 2 April 2013

KUTOKA FB: JIANDAE NA UMAUTI

Na Said Athuman

Yuko wapi mtu jeuri na kiburi kama FIRAUN ?
Yuko wapi leo hii tajiri wa matajiri kama SULEIMAN?
Yuko wapi mtu mzuri na mtanashat kama nabiiYUSUF?
Yuko wapi leo hii kipenzi cha ALLAH ( S.W ) MTUME MUHAMMAD (S.A.W) ?

Wote wapo ndani ya tumbo la ardhi. ama hakika kwake tutarejea. vipi mimi na wewe tumejiandaaje na safari hii nzito kabisa.


--

MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html

0 comments