Wednesday, 3 April 2013

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI AACHIWA

Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya Padri visiwani Zanyibar anataraji kuachiwa huru baada ya ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka Zanzibar limeiagiza jeshi la polisi Zanzibar limuachie huru.

Kwa mujibu wa taarifa toka katika ukuta wa facebook wa Ally Mohammed zinaeleza kuwa:
"BREAKING NEWS!! Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar yalitaka Jeshi la Polisi Zanzibar limwachie huru mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya Padri Everistus Mushi, Omar Mussa Makame, kwa madai kuwa hahusiki na mauaji ya padri huyo na kulitaka jeshi la Polisi limtafute aliefanya mauaji hayo!," mwisho wa nukuu toka katika ukuta wa Ally Mohamed

--
*ABDALLAH HAMDUN IBRAHIM SULAYMAN (**Computer Technician**)
ABOODMSUNI NETWORK ( <http://aboodmsuni21.blogspot.com/>**THE HOME OF
COMPUTER MAINTENANCE AND REPAIR*) <http://aboodmsuni21.blogspot.com>
*P.O Box 33132 Dar es salaam*
+255-657-184-421
--

MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html

0 comments