Al-maktoum college of Engineering and Technology (AMCET) chenye usajili namba REG/EOS/039
kinatoa kozi za Information Technology (IT), Computer Engineering, Electronic, Telecommunication Engineering, Communication and Network System Engineering na Electrical and Electronic Engineering, ambapo mombaji anatakiwa awe amehitimu kidato cha 4 nakupata walau D nne (4) kwenye masomo ya English, Geograpjy, Mathematics, Physics, Chemistry au Biology.
Ikiwa muombaji amepungukiwa na "D" moja yaani ana "D" tatu ama amefeli Mathematics, itambidi afanye kozi ya wiki sita ya PRE-ENTRY.
Nafasi za hosteli zipo kwa Tshs. 450,000/- kwa semester, malazi na chakula.
Ada ya masomo ya certificate ni Tshs. 850,000/-, na Diploma ni Tshs. 950,000/-.
Fomu za maombi zinapatikana kwenye tovuti ya chuo www.almaktoum.ac.tz.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Msajili wa chuo kwenye namba 0752592504.
Ukitaka elimu ya teknologia na uhandisi wahi AMCET
0 comments