Wednesday, 18 March 2015

KWA WALE WANAOTAKA KWENDA KUSOMA SUDAN, KAZI KWENU

Nafasi za masomo nchini sudan.. ni full scholarship kwa mwenye sifa na vigezo. Soma tangazo vizuri, fomu zitatolewa kuanzia tarehe 21/3/2015 mpaka 4/4/2015. Tujali muda... kwa mawasiliano zaidi utayapata ktk tangazo hilo hapo.

0 comments