Tuesday, 4 June 2013

VIJIMAMBO VYA SMS: BINGWA WA UTABIRI

Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1}umeshika simu yako mkononi...

2}Unasoma sms...

3} Ww ni binadamu hai kabisa.

4}Huwezi kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.

5}nakuona umejaribu kusema neno PIPI..

7}Unajicheka mwenyewe.

8}Unaendelea kusoma ujumbe huu.

9}Unatabasamu.!

10}Umeruka! namba 6.

11}Umerudi kucheki kama kuna namba 6.

12}Umetabasam!Sikweli?? UNACHEKA!! Unajiandaa kuifoward. Angalia ucnifowadie!!!! Teh teh teh !!!. 




0 comments