![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUq3IBIiAZJFOrpS5nAzHh0arc62Z_1KizH_OpQip1hZ3asY3OEqv-eQanfiZeoExQ1jKhldt8jI8lY3LuQqf5rYDs6X608i0gxwOWN49FpjFSjaUeXLSItahV1FYIaxD1Yaq-cDBnJ6W9/s640/IMG-20180313-WA0025.jpg)
YUNUS HUSSEIN {ALIYEPOTEA}
MTOTO YUNUS HUSSEIN PICHANI JUU MWENYE UMRI WA MIAKA 12 AMEPOTEA NYUMBANI KWAO TOKEA TAREHE 8 MPAKA SASA HAJAONEKANA.
HIVYO KWA YEYOTE ATAKAE MUONA MAHALA POPOTE ATOE TAARIFA KWA NAMBA ZIFUATAZO 0655090202/ 0655141464/ 06585000510
AU ATOE TAARIFA KATIKA KITUO CHOCHOTE KILICHOPO KARIBU YAKE- MTOTO YUNUS ANAISHI MBEZI JUU JIJI DAR ES SALAAM NA RB NO NI MBJ/RB/236/2018.
0 comments