Friday, 15 March 2013

ROBO FAINALI UEFA CHAMPION LEAGUE, BAYER USO KWA USO NA JUVE

Dqoo ya klabu bingwa ulaya imepangwa leo na kushuhudi BARYEN MUNICH wakichuana na Juventus katika hatua hiyo ambayo michezo yake ya awali itapigwa april 2 na 3.

Michezo mingine:
MALAGA Vs BORUSIA DORTMUND
REAL MADRID Vs GALATASARY
BARCELONA Vs PARIS ST. GERMAN
BAYERN MUNICH Vs JUVENTUS


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
TUNATATUA TATIZO LA COMPUTER YAKO
065 718 4421
065 714 8283 (habib)
www.aboodmsuni21.blogspot.com

0 comments