Katika muhadhara huo wenye dhamira ya kutoa mwangaza wa nini cha kufanya baada ya kuhitimu kidato cha nne na kupata matokeo yake ni maalum kwa mabinti na kina mama.
Muhadhara huo ni wapili baada xa ule wa awali kufanyika katika ukumbi huo huo mwishoni mwa mwezi uliokwisha, utakuwa na mada zile zile kama umuhimu wa elimu kwa binti wa kiislamu, sambamba na nini cha kufanya kulingana na matokeo aliyopata.
Muhadhara huo utakuwa na wahadhiri wakina mama wa kiislamu wenye taaluma mbalimbali.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
TUNATATUA TATIZO LA COMPUTER YAKO
065 718 4421
065 714 8283 (habib)
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments