Monday, 19 August 2013

HAYA NDIYO MASHITAKA 4 ALIYOSOMEWA PONDA MORO LEO


.
Sheikh Ponda amefikishwa Mahakama ya Mjini Morogoro, na kusomewa Mastaka manne. ambayo ni,
1. Kutoa Maneno ya Uchochezi.
2: Kuidharau Dini nyingine.
3: Kufanya Mikutano yaDini ambayo imepigwa Marufuku.
4:kwenda Kinyume na Kifungo cha Nje ambacho alikuwa anakitumikia.
Kesi hiyo imeahirishwa Mpaka Tarehe 28 mwezi huu itakapotajwa Tena.

0 comments