Saturday, 25 October 2014

HUYU JAMAA UKIMPA VIATU ACHEZI MPIRA

MSUNI AKIWA NA ABDALLAH SAID KOMBO BAADA YA MCHEZO KUMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA KATI YA EIGEN FC DHIDI YA ELECTRONIC 6, KATIKA UWANJA WA AL-MAKTOUM COLLEGE OF ENGEENIERING AND TECHNOLOGY
MSUNI AKIWA BILA YA VIATU UWANJANI
MSUNI AKIWA KWENYE HARAKATI YA KUZUIA MPIRA AKIWA BILA YA VIATU

0 comments