Monday, 30 March 2015

CHUNVI NA MADHARA YA KISUKARI


Matumizi mabaya ya chumvi husababisha madhara ya kunenepa kupita kiasi

Dr. Önder Yavaşcan, daktari wa watoto na mtaalamu wa tiba ya watoto nchini Uturuki afahamisha kuwa umiaji mbaya wa chumvi huweza kusababisha ugonjwa wa kunenepa kupita kiasi.

Alifahamisha pia kuwa chumvi huweza kusababisha gongwa la kisukara.
Daktari huyo alifahamisha kuwa, ili binadamu kuwa afya njema, anatakiwa kutumiagrama 5 hadi 6 za chumvi kwa siku.
Grama 1 kwa mtoto mwenye umri wa chini ya mwaka 1, grama 2 kwa mtoto mwenye miaka kuanzia 1 hadi mitatu.

Mtaalamu huyo wa tiba ya mafigo na daktari wa watoto alifahmisha kuwa matumizi mabaya ya chumvi husababisha shinikizo la damu kuongezeka na kuleta matatizo katika mafigo na moyo.

Dr. Yavascan ametowa wito wakutukula kila mara chakula kisichokuwa na chembechembe za "calorie" na kusema kuwa mazoea ya kula "fast foot" huyumbisha "insulin".


CHANZO: TRT SWAHILI

0 comments