Tuesday 14 April 2015

REFA ATOA KADI NYEKUNDU NA PENATI…AKAFUTA BAADA YA DAKIKA CHACHE.

By    

Hivi inakuaje pale refa anatoa kadi nyekundu na penati juu harafu kabla penati haijapigwa anaifuta na kumrudisha uwanjani mchezaji aliyempa kadi nyekundu. Hii imetokea huko kwa kina Lionel Messi,Buenos Aires Argentina ambapo refa German Delfino alitoa kali baada ya kumpa kadi nyekundu mchezaji wa zamani wa Arsenal Dany Valencia na kuwapa penati Velez.

Penati inavyokaribia kupigwa refa akafuta hiyo penati na kumuita Valencia arudi uwanjani. Refa huyo amesema amesaidiwa na wasaidizi wake waliopo nje walioangalia replays na kumpa taarifa ya makosa aliyoyafanya.

Ikitokea bongo hii hasa kwenye mechi ya Simba na Yanga nini kingetokea? Nipe comment zako hapo chini.

0 comments