Assalaam alaykum, ndugu Muislam!
Karibu IQRA,
Ujumbe huu unatoka kwangu Mwenyekiti wa Taasisi ya Iqra Media, kwa ajili yako na kwa ajili ya Waislam wote wengine. Nakualika kumkaribisha mgeni mwema - gazeti lako jipya la Kiislam - IQRA.
IQRA linaandaliwa na timu ya waandishi wazoefu kwenye fani ya habari kwa kushirikiana na masheikh waliobobea katika Dini ya Kiislaam.Gazeti hili litasheheni mambo kemkem, ikiwa ni pamoja na matukio yanayohusu Uislam na Waislam kutoka ndani na nje ya Tanzania;
Safu mbalimbali za maarifa, tafiti na elimu yenye manufaa;
na darsa za wahadhiri uwapendao al-marhum Sheikh Nassor Bachu, Sheikh Nurdin Kishki;
na Sheikh Othman Maalim.
Pia IQRA linakuja na ripoti maalumu kuhusu mambo yanayokugusa wewe Muislam na Dini yetu, makala na fatawa kuhusu mambo mbalimbali kutoka kwa maulamaa wa ndani na nje ya Tanzania.
Kwenye kurasa za IQRA utasoma anayoridhia Mola Wetu na Mtume wetu; utasoma yatayokuwekea mazingira mazuri ya dunia yako na pia kujiandaa na akhera yako.
Changia Uislam kwa kununua nakala yako KILA IJUMAA kuanzia Juni 5 mwaka huu, inshallah. Na tafadhali, jiongezee kwenye mizani yako ya mema kwa kumjulisha kila ndugu yako Muislam unayemjua kuhusu ujio wa Gazetil la IQRA kwa ku 'share' ujumbe huu kwenye WhatsApp, Twitter, Facebook, email na hata ujumbe mfupi wa simu, yaani SMS.
Karibu IQRA, usome kwa jina la Mola Wako.
Asante, Allah SW atujaze kheri sote, inshaallah.
Bilal Abdulaziz
Mwenyekiti wa Iqra Media.

0 comments