Thursday 2 July 2015

UJUMBE KWA WAHITIMU WAKIDATO CHA 4 HAMBAO HAWAKCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

By    
Nimeiona hii nadhani inaweza kuwa ya msaada

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii ya leo tena.

Mada ambayo napenda kuiongelea hapa ni kuhusu vijana wote waliokosa nafasi za kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano July 2015, lakini wana sifa za kujiunga na kidato cha tano,Basi kama wewe au ndugu yako ni mmoja wapo fanya yafuatayo kwa kuangalia lipi linakufaa kwa sasa.

1.SUBIRI SECOND SELECTION
Endapo bado una nia ya kwenda kidato cha tano na umefaulu vizuri,mara nyingi serikali yetu imekuwa sikivu katika kuhakikisha kuwa kila kijana aliefaulu anachaguliwa kujiunga kidato cha tano,huwa inatoa second selection kwa wanafunzi wwenye sifa za kujiunga na kidato cha tano,kwa hiyo kama wewe GPA YAKO ni kuanzia 1.6 na unahamu na kidato cha tano tafadhali subiri utachaguliwa.
NOTE:usibweteke na kusubiri tu hizo second selection fanya yafuatayo kwani kidato cha TANO sio maisha ,maisha ni popote pale,basi fanya yafuatayo;

2.APPLY UALIMU KUPITIA NACTE
Nacte inahusika na vyuo vya ualimu kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe ualimu haraka kwani deadline ni tarehe 17.7.2015,Kama una sifa zifuatazo omba ualimu fasta.

EDUCATION PROGRAMS
The Ministry of Education and Vocational Training in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform the public that Central Admission System (CAS) is now open for new applicants into Teacher Training Institutions for academic year 2015/2016.
Minimum Entry Requirements:

Ordinary Diploma (Pre Service): Division I – III OR GPA of 1.6 in O’Level
Ordinary Diploma (In Service): Grade IIIA Certificate
Higher Diploma: Two (2) principle passes in A’Level or Ordinary Diploma (NTA 6).
Ordinary Diploma in Laboratory Technology: Passes (D) in Physics, Chemistry, Biology and Mathematics

For science programs: 2 passes in science subjects (Physics, Chemistry, and Biology) in O’Level for Ordinary Diploma OR 2 principle passes in science and/or mathematics (Physics, Chemistry, Biology and Mathematics) in A’Level for Higher Diploma

3.APPLY KOZI ZA AFYA KUPITIA NACTE
Nacte inahusika na vyuo vya vya afya kama ilivyo kwa ualimu kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe afya haraka kwani deadline ni tarehe 17.7.2015,Kama una sifa zifuatazo omba kozi za afya haraka.
HEALTH PROGRAMS
The National Council for Technical Education (NACTE) in collaboration with the Ministry of Health and Social Welfare would like to inform the public that Central Admission System (CAS) is now open for new applicants into Health Training Institutions for academic year 2015/2016.
Minimum Entry Requirements:

Ordinary Diploma: Physics/Engineering Science – D, Chemistry – C, Biology – C in O’level.
Technician Certificate: Physics/Engineering Science – D, Chemistry – D, Biology – D in O’level.
Upgrading/Higher/Advanced Diploma: Biology – D in O’level, work experience of two (2) years and above, passport size picture, Technician Certificate or Ordinary Diploma Certificate and Transcript in the field aspired and a letter of permission from employer. Nursing applicants should attach a copy of their license to practice.


4.OMBA VYUO VYA KILIMO NA MIFUGO
Wizara ya mifugo inahusika na vyuo vya vya kilimo na mifugo kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe ,Kama una sifa zifuatazo omba kozi za afya haraka.

<>1.i) Stashahada (Diploma – DAHP, DRMTC, DCVLT) - Miaka miwili (2) kwa wanachuo waliomaliza kidato cha sita na mwaka mmoja (1) kwa wanachuo waliomaliza cheti kwa mfumo wa Semesta
Awe amemaliza elimu ya Kidato cha Sita kufaulu masomo matatu ya Sayansi kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia, Hisabati, Jiografia, Sayansi kimu na Kilimo. Kiwango cha chini cha ufaulu kitakachomwezesha muombaji kukubaliwa ni cha subsidiaries mbili kwenye masomo ya sayansi. AU
<>·
ii) Astashahada (Certificate – CAHP, CVLT) –Miaka miwili (2)
<>·
<>·<>·<>·

<>2.<>·<>·Ministry of Livestock and Fisheries Development United Republic of Tanzania/organization /Agencies/LITA
<>·<>·
<>3.Gharama za mafunzo zimeonyeshwa kwenye fomu ya maombi ambayo inapatikana kwenye Kampasi, vituo vya Wakala na tovuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz/organization /Agencies/LITA
<>4.Mwisho wa kupokea fomu za kujiunga na masomo ni tarehe 15/07/2015.

5.APPLY SPECIAL PROGRAMME UDOM

MWISHO:
Endapo utaufanyia kazi ushauri wangu nina imani kubwa malengo yako yatafanikiwa mbele kwa mbele,nakutakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Wako,

0 comments