![]() |
Dr Slaa alipokuwa ndani ya CHADEMA |
JAMES MBATIA-Tar 14 Dr.SLAA alitakiwa atangazwe mgombea Urais, akasema anaomba asitangazwe kwanza mpaka tufanye mbwembwe #MillardAyoUPADATES
— millard ayo (@millardayo) September 2, 2015
Breaking: Makatibu Uenezi wa Chadema wa Mikoa ya Mtwara & Dodoma jioni hii wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM. pic.twitter.com/O1XBx3Mj1H
— Uchaguzi Mkuu 2015 (@tanzaniatrends) September 2, 2015
NDUGU ZANGU...HALI IMEKUA HIVI GHAFLA..???!!! @OrijinoKomedi @PapiChulo_Chuly @MagufuliJP @MariaSTsehai @MwanaFA pic.twitter.com/jskp2DirjP
— MPOKI (@MpokiMjuni) September 2, 2015
Wakati Zitto anafutwa uanachama Chadema Slaa alikuwa ni miongoni mwa waliokuwa wakimshuku Zitto kuwa anatumiwa na CCM. Je yeye sasa? Siasaaa
— Maulid Kitenge (@mshambuliaji) September 2, 2015
0 comments