
Uchaguzi ukisha
Kuna taifa
Ugomvi ukisha
Kuna maisha
Kuweka nyufa
Si sifa
Taifa likifa
Nani si lofa?
Bila taifa
Mshindi ni lofa
#Umoja
— January Makamba (@JMakamba) September 8, 2015

Uchaguzi ukisha
Kuna taifa
Ugomvi ukisha
Kuna maisha
Kuweka nyufa
Si sifa
Taifa likifa
Nani si lofa?
Bila taifa
Mshindi ni lofa
#Umoja
— January Makamba (@JMakamba) September 8, 2015
0 comments