Showing posts with label amcet. Show all posts
Showing posts with label amcet. Show all posts

Thursday, 28 July 2016

Al-Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) Mbezi beach, inatangaza nafasi za masomo katika kozi za umeme,  electronics na computer ngazi ya cheti na diploma.  Mwombaji wa cheti awe ana  'D' 4 form 4, ufaulu wa Math lazima.

Diploma awe na 'D'1 na 'S'1 form 6. Ada cheti 650,000, diploma 750,000. Maombi kupitia NACTE www.nacte.go.tz.

Mwisho 05/08/2016. Hostel zipo,  na program za jioni kwa waajiriwa zipo. 0713220304/0752592504

Tuesday, 14 July 2015


Assalam aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. 
AL-MAKTOUM COLLEGE OF ENGINEERING &TECHNOLOGY (AMCET)-DSM, wanatangaza nafasi za masomo kwa wahitimu wa kidato cha nne/elimu ya ufundi. Kozi zilizopo ni pamoja na ELECTRICAL ENG, INFORMATION SYSTEM&NETWORK TECHNOLOGY, ELECTRONIC&TELECOM ENG, ELECTRICAL&ELECTRONIC ENG. 

Vigezo vya chini ni alama ya 'D' 3 kwenye math, engl, geo, phy, chem/bio. Ada ni 650,000/- Program za veta nazo zipo. 

Mawasiliano zaidi piga 0713220304/0752592504.
www.almaktoum.ac.tz

Imetolewa na Msajili, Jannat I Sulayman

Thursday, 18 June 2015


Kwa mara ya kwanza siku ya jumamosi juni 20 katika viwanja vya Al-maktoum college of engineering and technology (AMCET) kutakuwa na mashindano ya Qur-ani yatakayo husisha wanafunzi wa chuo hicho.

Katika mashindano hayo ambapo washiriki 10 watashindana katika juzuu 1,3 na 5, ambapo yanataraji kuanza saa mbili asubuhi katika eneo la AMCET lililopo Tangi bovu, Mbezi beach jijini Dar es salaam.

Saturday, 20 December 2014

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuW-aT_36tM7vk0RuRMOlWPFTXstjkW5KniHLQ2sEVoxeH8eeQhWsGMASsv5XUu3zy6I71jfp3suPILKfaYApNlo8ngq-wshyphenhypheny3M-MDnLIjkn9EB8dqpwFCbAdnDxY3lkOX-QxTC3GI96O/s200/AMCET.jpg
Una ndugu au jamaa kamaliza form4 lakini hakufanya vizuri? Chuo cha Al-Maktoum kilichopo DSM, mbezi beach kinatoa nafasi za masomo kwa mwaka1 kupitia mitaala ya VETA kumwezesha kuingia certificate na diploma pindi atapohitimu. Kozi zinazotolewa ni ICT na Electrical Installation. 

Ada ni Tshs. 300,000/- tu. Kwa watakaotaka hostel, malazi bila chakula ni 300,000/-. 

Kwa mawasiliano zaidi piga 0713220304 au 0752592504. 

Mwisho wa kupokea maombi ni 9/1/2015.

Imetolewa na msajili wa chuo,
J.I Sulayman

Monday, 24 November 2014


TEMBELEA LINK HII KUPATA PICHA ZA MAHAFALI YA KWANZA YA AMCET BOFYA HAPA AMA BOFYA KWENYE PICHA HAPO JUU. 

https://drive.google.com/folderview?id=0B-TC45mUrSckdENJSkpWT01mMWs&usp=sharing




Sunday, 23 November 2014

Wahitimu wakingoja veti vyao

Staff wa Almaktoum College of Engineering

Mgeni Rasmi Muheshimu Shukuru Kawambwa


Meza kuu
















Msuni akijaribu kuu ndege wa wili kwa jiwe moja

 

Msuni akitunukiwa cheti chake cha diploma ya Information Technology







Makmu mkuu wa chuo Alhaj Ally Mnondwa