Sunday, 17 March 2013

HUYU NDIYE ANATARAJI KUJENGA MSIKITI

Mwanamuziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul 'Diamond' akiwa katika vazi ambalo huvaliwaga na waislamu 'kanzu' akiwa ameongeza kitu ambacho utamaduni wa kiislamu hauruhusu kwa mvulana kuivaa 'hereni na cheni'.

Diamond majuzi alinukuliwa akisema anataraji kukumbukwa kupitia msikiti ambao anataraji kuujenga katika siku za usoni, na kwasasa yuko katika mkakati wa kutafuta eneo la kufanya tukio hilo.


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
TUNATATUA TATIZO LA COMPUTER YAKO
065 718 4421
065 714 8283 (habib)
www.aboodmsuni21.blogspot.com

0 comments