Shekhe aliongea mengi ila kubwa alifafanua namna dunia nzima inavyopambana kuutokomeza uislam na kubashiri kuibuka kwa vita ya tatu ya dunia ambayo itakuwa ni ya kidini na kuwauliza waumini kuwa wako teyari kwa vita hivyo.
Shekhe uyo alisema katika vita hiyo ya chini chini dhidi ya uislam na waislam wapo baadhi ya mashekhe mashuhuri nchini wamesha ingia kwenye bendera ya kuupiga vita uislam kwa kutokujua na wengine kwa kujua.
Kamata kamata ya mashekhe inayoendelea nchini na maeneo mengine duniani alisema nimoja ya ishara inayoashiria kuibuka vita ya 3 ya dunia ambayo itakuwa vita ya kidini.
Shekhe huyo aliwataka waislamu kuanza kujianda na vita hiyo aliyoibashiri kuwa ikonjiani inakuja.
Nnje ya shekhe huyo nilikutana na mpachiko katika ukurasa wa facebook wajamaa anaejiita USINIZIBE MDOMO mara baada ya kituo cha radio ya kiislamu iliyokuwa inasikika karibu Tanzania nzima Radio Iman fm kufungiwa kurusha matangazo yake miezi sita , akisema kuwa kama serikali ikiendelea kuyajamazia madai yao na kuendelea kutotenda haki pande zote basi Tanzania iko mbioni kupoteza amani.
Katika post hiyo inayo eleza namna anavyo wafahamu waislamu ambao ni wasisi wataifa aliitahadharisha serikali kwa kutenda haki kama wanataka nchi kuendelea na sifa yake ya kuwa kisiwa cha amani.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
+255-657-148-283 (Habib)
+255-657-184-421 (Msuni)
www.aboodmsuni21.blogspot.com
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
TUNATATUA TATIZO LA COMPUTER YAKO
065 718 4421
065 714 8283 (habib)
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments