Habari za saa hizi wadau wa ABOODMSUNI NETWORK.
Asubuhi hii nimepokea message toka kwa moja ya wadau wangu wakaribu akihitaji jawabu ya swali lake, ambapo mie nimekosa jawabu la kumpatia na kubidi kulileta kwa wadau watafakari na kujaribu kulitafutia jawabu.
Swali lenyewe linasema: "sasa kama redio iman wameifungia kwakosa lakuhamasisha kugomea sensa je;
1. serikali wanatuambia ilitokea athari kubwa iliyopatikana kutokana na uhamasishaji ule?
2. waliposema asilimia 95 wameshajiandikisha ilikuwa ni uongo?
3. takwimu na idadi ya WATANZANIA iliyotole na kutangazwa na rais Kikwete ni ya UONGO?"
mwisho wa nukuu ya swali
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com

0 comments