Leo
asubuhi nimepokea message inayodaiwa ni moja ya majibu ya mwanafunzi
walio hitimu kidato cha 4 mwaka 2012 katika mtihani wake wa mwisho,
message yenyewe inasema;
"Hivi ndivyo mwanafunzi wa form 4 2012 alivyojibu kwenye pepa ya kiswahili!
swali: Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Mwanafunzi akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi..........
1. unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri.
2. hakikisha mdahalo wako haujakomaa
3. bandika sufuria yako jikoni
4. weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika kumi na tano
5. mdahalo wako ukiwa tayar uepue
6. mdahalo huu unaweza kuula na kinyaji chochote."
mwisho wa nukuu.
kazi kwenu
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION TUPO PEMBA FEB 21-MACH 15
TUNAREKEBISHA COMPUTER ZILIZO KUFA
Wasiliana na HABIB KHAMIS: +255-657-148-283
www.aboodmsuni21.blogspot.com

0 comments