Dua hiyo ambayo iliwagusa mpaka wale walhohusika katika vitendo vya uvamizi kwa muhariri wa gazeti la Mtanzania, Kabanda, na uwaji wa waandishi wa habari pamoja na wale ambao wanao husika katika matendo ya kikatili yanayoendelea hapa nchini.
Dua hiyo ilikuwa ina waombea watu hao wapate udhalilifuna adhabu na dhamira zao mbaya ziwarejee wenyewe.
Dua hiyo iliyodumu kwa mda wa dakika 15 mpaka 20, vilevile walinmbea dua ureteo wa radio iman pamoja na ushindi kwa Sh. Ponda jatika kesi yake inayomkabili.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
TUNATATUA TATIZO LA COMPUTER YAKO
065 718 4421
065 714 8283 (habib)
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments