Sunday, 23 June 2013

MOTO WATEKETEZA KIBANDA CHA BIASHARA KIMARA

Na Louis Sendeu
Banda la mfanyabiashara mmoja lililopo eneo la Korogwe Kimara, Likiteketea kwa moto usiku huu baada ya mtu mmoja ambaye hakufahamika mara moja kumwaga mafuta ya petroli na kuwasha matairi na kutokomea kusikojulikana.




0 comments