Saturday, 29 June 2013

UKUMBUSHO KWA WANADADA NA KINAMAMA

Na  MIMI NI MUISLAMU


Siku moja Bibi Fatma radhi za ALLAH ziwe juu yake,
alikwenda kwa Mtume Swallalahu alayhi wasallam, akamkuta analia sana!

Bibi Fatma akamuuliza kìnakuliza nini ya Rasula Llah?

Akajibu:
jinsi nilivyo waona wanawake wakipewa adhabu mbali mbali motoni.

Bibi Fatma akamuuliza adhabu gani hizo?
Akajibu :
 1. Mwanamke katundikwa kwa nywele zake na huku ubongo wake na mikono yake imetolewa nyuma ya mgongo wake na huku anamiminiwa lami ya moto.
Kosa KUTEMBEA KICHWA WAZI.

2. Kafungwa miguu na mikono juu ya utosi wake na kaachiwa nyoka na nge wanamtafuna.
KOSA:KUTOKA BILA RUHSA YA MUMEWE.

3.Anakula mwili wake na huku nyama kila akila inarudi tena. KOSA: ALIKUWA AKIJIPAMBA NAHAKUFICHA PAMBO LAKE

4.Anakata mwili wake kwa makasi ya moto kama anaekata kitambaa.KOSA:ALIKUWA AKIPENDA KUTEMBEA KAVAA NGUO ZA KUMBANA NA KUONESHA FIGURE

5. Mwengine uso wake mweusi sana na anakula tumbo na mikono yake. KOSA:ALIKUWA NI MWENYE KUFITINISHA

6. Katundikwa kwa ulimi umevutwa hadi dhiraa 70 na anamiminiwa lami ya moto. KOSA:KUMUUDHI MUMEWE HADI KUKASIRIKA.

7.Na wengine wametiwa ndani ya masanduku ya moto ndani kuna nge anamtafuna.KOSA:KUBANDIKA WAUME WATOTO WASIO WAO.

FADHAKIR FAINA DHIKRA TANFAUL-MUMININ

Ummu Hudhayfah



0 comments