Friday, 19 July 2013

ANNUR: SWALA YAPELEKEA KUTIMULIWA SHULE

By    
DONDO ZA ANNUR IJUMA HII YA JULAI 19

1 Wanafunzi watimuliwa shule kwa kuswali
 - Watakiwa kuchagua elimu au swala
 - Sheikh wa Bakwata akoroga zaidi

 2 Maalim Seif aridhishwa na hali ya bidhaa katika masoko

 3 Kamati ya maafa Shura ya Maimamu yafichua dhulma
 - Ni kwa Waislamu waliofungwa kwa kuandamana
 - Wamo ombaomba, wagonjwa wa akili

 4 MAONI YETU
 - Kumi la pili Ramadhani tusameheane kabla ya kutarajia msamaha wa Mwenyezi Mungu

 5 Sheikh Bawazir afikisha miaka 35 darsa la Hadith

 6 Masjid Taqwa Ilala
 - Toka Tinda (Gerezani)1930s, hadi Michongomani (Bungoni) 2013

 7 Mufti wa Rwanda atimuliwa

 8 Maandamano yashika kasi Misri

 9 Maandamano makubwa yaikumba Marekani
 - Weusi wapinga hukumu ya kibaguzi dhidi yao
 - Mwanasheria Mkuu wa serikali aingilia kati
 - Adai licha ya hukumu uchunguzi utaendelea

 10 Maaskofu na siri zao nzito

 11 Uislamu na Mapinduzi - 3

 12 Mlo bora wa futari kwa afya yako

 13 Akina mama Rufiji wakoshwa na muhadhara Ramadhan
 - Waomba Wahadhiri kutembelea vijijini

 14 Fainali mashindano ya Qur’an kesho Masjid Idrissa

15 Tamasha Pemba lafana

0 comments