Friday, 26 July 2013

FAINALI YA CHEMSHA BONGO KUFANYIKA LAMADA JULAI 28

By    
Jumuiya ya AN-NAHAL inawaalika waislam wote kwenye fainali za chemsha bongo kwa vijana wa kiislamu wa shule za sekondari.

Ni jumapili hii julai 28 katika Ukumbi wa Hoteli ya Lamada iliyopo Ilala Boma. Kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa saba mchana.

NJOO UONE VIPAJI VYA WAISLAM VYA KUJIBU MASWALI YA PAPO KWA HAPO.

Ujumbe huu umetolewa na: Abdul-karim Kachechele
 

0 comments