Saturday, 13 July 2013

ELIMU BILA YA KUTILIA KATIKA MATENDO SAWA

By    
Elimu bila ya utekelezaji imeshutumiwa na ALLAH (S.W), Mtume wake na waumini. M/Mungu mtukufu amesema kuwa: "Enyi ambao mmeamini kwanini mnasema msoyafanya? Imekuwa dhambi kubwa mbele ya ALLAH kusema msioyafanya". Abuhuraira, Allah amuwiye radhi, amesema: "Mfano wa elimu isiyofanyiwa kazi ni mfano wa mali isiyotolewa ktk njia ya Allah (s.w)". Tujitahidi kufanya yale tunayoyasema INSHA-ALLAH!!

0 comments