Monday, 24 February 2014

JE WAJUA: NDEGE YA KWANZA KUTUA TANGANYIKA BAADA YA UHURU ILITOKA MISRI

By    

Markazi Ya Watanzania

Ndege ya kwanza kutua Tanganyika ilitoka Misri tena ilitua saa mbili baada ya Tanzania (Tanganyika) kutangazwa huru.
Hii inaonyesha kuwa ndege ile ilianza safari ya kwenda Dar es Salaam saa kama nne kabla ya kutangazwa uhuru wa Tanganyika na hili ni moja ya mambo linalokumbukwa sana katika mahusiano kati ya Tanzania na Misri.

0 comments