Friday, 28 March 2014

FOMU ZA KWENDA KUSOMA SUDAN KUANZA KUTOLEWA MACHI 29

By    

Abou Anwaar Yahya Ahmad

Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh.. ndugu zangu ktk imani kwa wale ambao wanahitaji kusoma degree ktk kozi wanazozitaka kati ya Medicene,Pure and applied science,Pharmacy,Engeneering,Economics,Education,Arts,Computer studies,Nursing,Medical labolatory,Law and Sharia pamoja na Dirasaat islaamiyyah.... nafasi ziko wazi nchini Sudan..
chuo: International University of Africa

Qualification: Form four certificate with 7 pass na usiwe na F katika hesabu na kingereza.

kujiunga: Wasiliana na ust. Khamis lienike kwa namba zifuatazo 0652806662 / 0786806662

muda wa kichukua fomu za kujiunga ni kuanzia kesho tarehe 29/03/2014.. unashauriwa kuwasiliana leo na ust. khamis kwa utaratibu zaidi.. bei ya fomu utaambiwa na ust.lienike.

NB. ukipata nafasi ya kuja sudan utasoma buree wala hutodaiwa ada.. Allah awafanyie wepesi ktk kuomba nafasi hizo hapo juu.. pia omba kulingana na masomo uliyofanya ambayo yapo ktk cheti chako.

0 comments