Thursday, 29 May 2014

PICHA: JAVA FC 1-0 HIGH VOLTAGE

Mchezo wa kirafiki kati ya wanafunzi wa mwaka wa mwisho wanaochukua Electrical (High Voltage FC) dhidi ya wanafunzi wa mwaka wa mwisho wanao chukuwa Information Techonology (Java FC) kutoka Al-maktoum umemalizika kwa kushuhudia Java FC wakiibuka na ushindi wa goli 1-0.
Kikosi cha wanafunzi wa Al-Maktoum wanao chukukwa Electrical Mwaka wa mwisho Diploma (High Voltage FC)
Wachezaji wa High Voltage wakipewa nasaha ya nini cha kufanya kukomboa goli wakirejea kipindi cha pili
Asha Ridhiwani mwanafunzi wa Elctrical mwaka wa Mwisho akiduwazwa na matokeo
Wachezaji wa Java FC wakiomba dua kabla ya kuingia uwanjani
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza diploma waliofika uwanja kuwapa sapoti kaka zao wa Electrical 

Wachezaji wa High Voltage wakishangilia kufungwa goli 1-0
Beki wa High voltage Habibu Lukali akitafuta mbinu ya kupiga krosi
Otto kutoka IT5 na Halima wa IT 6 wakingoja kipindi cha pili kianze
Kazi na dua, Kiungo wa Java FC Mbwana Mohammed akiomba dua kabla ya kipindi cha pili akijaanza
Mshambuliaji wa Java FC Is-haka Milandu mmiliki wa Milandu Sport blog
Aboubakari Mwipi,Mialandu na Mbwana katika picha ya pamoja
Msuni akiwa na Kaseja wa Tanga (Khamisi Abeid)
Winga teleza wa Java FC Ramadhani Abdallah
Mwalimu wa Elctrical akishangazwa na soka la vijana wa JAva FC
Wachezaji wa Java FC wakipongezana kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kuwanyamzisha High Voltage


Wanafunzi wa Al-maktoum mwaka wa mwisho diploma wakiwa kaitika picha ya pamoja
Wazee wa kazi Java FC

0 comments