
Chuo cha Al-maktoum kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam kitaanza kutoa degree katika fani za Information technology pamoja na Electrical engineering huku katika upande wa certificate wakiongeza kutoka katika kozi 3 kifikia kozi 6.
Al-maktoum college of Engineering and Technology kimesajiliwa na NACTE (usajili namba REG/EOS/039.) ambapo katika mwaka huu wa masomo (2013/14) kutoa toleo lao la kwanza kwa upande wa Diploma na toleo la 4 kwa upande wa certificate.
Kozi zilizo ongezwa kwa upande wa certificate ni: Computer Engineering, Communication and network system, electroni and telecomunication.
KOZI ZILINAZOTOLEWA NA AL-MAKTOUM
NTA LEVEL 4 (Certificate)
- Information Technology
- Computer Engineering
- Electronic
- Telecommunication Engineering
- Communication and Network System Engineering
- Electrical and Electronic Engineering
NTA LEVEL 5 and 6 (Diploma)
- Information Technology
- Electronic Engineering
- Electrical Engineering
NTA LEVEL 7 and 8 (Degree)
- Bachelor of Electrical Engineering
- Bachelor of Information system and Network engineering
Mawasiliano:
+255 22 261770
+255 22 2617703
+ 255 22 2617825
0 comments