Saturday, 13 June 2015

MAALIM SEIF ALIVYOPOKELEWA KIFALME PEMBA

By    
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili ya mkutano wa hadhara kumtambulisha rasmi kuwa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho

Wanachama na wafuasi wa cuf wakiwa wamebeba mabango yenye picha za Maalim Seif wakati wa mkutano wa hadhara kumtambulisha mgombea wa CUF, katika nafasi ya Urais wa Zanzibar, Maalim Seif huko uwanja wa Tibirinzi, Chakechake Pemba

Wanachama wa CUF wakiandamana katika mitaa ya Chakechake Pemba wakimsindikiza mgombea Urais wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kuwasili Pemba. Picha: Salmin Said

0 comments