Siku moja kabla Dr.SLAA hajatangaza kuachana na siasa, imebainika kuwa alikutana na viongozi wa CCM akiwemo MWAKYEMBE #MTANZANIA #SEPTEMBA3
— millard ayo (@millardayo) September 3, 2015
Dr. Slaa alikuwa shujaa wao kwa kusema maneno makali dhidi ya wala rushwa. Leo ni adui yao kwa kusema maneno makali dhidi ya wala rushwa!
— January Makamba (@JMakamba) September 3, 2015
Walipotangaza orodha ya mafisadi walisema wana ushahidi.Leo wakiulizwa mbona mmemkumbatia mmojawapo, wanajibu leteni ushahidi kama ni fisadi
— January Makamba (@JMakamba) September 3, 2015
0 comments