Kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil Dunga amemjumuisha mshambuliaji wa Liverpool Philippe Countinho katika kikosi chake cha wachezaji 22 kitakacho cheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Colombia na Ecuado september 5 na 9 mwaka huu.
Brazili inataraji kucheza na Colombia septmber 5 katika mji wa Miami na siku nne baada ya mchezo huo itacheza na Ecuador katika mji wac New jearsey.
Hiyo itakuwa michezo ya awali kwa Brazili toka Dunga akabidhiwe timu toka kwa Luis Felipe Scolari baada ya kuwa na matokeo mabovu katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la dunia.
Kikosi alichokiita Dunga kinaundwa na:
Goalkeepers: Jefferson (Botafogo), Rafael Cabral (Napoli/ITA)
Defenders: David Luiz, Marquinhos (both Paris Saint-Germain/FRA), Gil (Corinthians), Miranda (Atletico Madrid/ESP), Maicon (Roma/ITA), Filipe Luis (Chelsea/ENG), Alex Sandro, Danilo (FC Porto/POR)
Midfielders: Luiz Gustavo (Wolfsburg/GER), Elias (Corinthians), Fernandinho (Manchester City/ENG), Ramires (Chelsea/ENG), Everton Ribeiro (Cruzeiro), Oscar (Chelsea/ENG)
Forwards: Hulk (Zenit/RUS), Ricardo Goulart (Cruzeiro), Willian (Chelsea/ENG), Neymar (Barcelona/ESP), Philippe Coutinho (Liverpool/ENG), Diego Tardelli (Atletico Mineiro)
0 comments