Mamlaka ya Saudi Arabia inayosimamia mambo ya mwandamo wa mwezi imewatangazia waislamu wa nchi hiyo kushiriki sherehe za kuingia kwa mwezi wa Dhul-Hijjah, 1435 leo jioni.
Saudi Arabia leo inakamilisha tarehe 30 ya mwezi Dhu al-Qi'dah. Sikukuu ya Eid Al-adha hufanyika siku ya mwezi 10, Dhul hijjah na waislamu hutakiwa kuchinja kwa mnyama kwa mwenye uwezo wa kufanya hivyo.
Kwa mujibu wa kalenda ya nchi hiyo sikukuu ya Eid Al-adha inatarajiwa kuwa Oktoba 4 ,2014, siku moja baada ya mahujaji kusimama katika viwanja vya Arafa Oktoba 3.
Mwezi Dhul Hijjah ni kuashiria kwa mwisho wa mwaka kwa mujibu wa kalenda ya dini ya kiislamu.
Kalenda ya Saudi Arabia inaonesha sikukuu ya Eid Al-adha kwa miaka kadhaa ijayo.
Mwaka 2015 sikukuu hiyo inatarajiwa kuwa Septemba 24, mwaka 2016 kuwa Septemba 13, mwaka 2017 kuwa Septemba 2 na mwaka 2018 kuwa Agosti 22.
Aidha, mwaka 2019 sikukuu ya Eid Al-adha inaangaliwa itakuwa Agosti 12, na mwaka 2020 kuwa Julai 31.

0 comments