Friday, 24 October 2014

AMCET LIGI: KATIKA PICHA ELECTRONIC 6 Vs EIGEN FC

Wachezaji wa timu ya wanafunzi wanao chukuwa degree ya Information System and Network Engineering samaba,ba na Electrical (Eigen FC) wakijiandaa kabla ya mchezo uliomalizika kwa sare na ulifanyika katika uwanja wa Al-maktoum college of Engeneering and Technology
Meneja mchezaji wa timu ya wanafunzi wa mwaka wa mwisho diploma wanaochukuwa Electronic ambao walikabiliana na Eigen FC
Kikosi cha Eigen FC kilichowakabili Electronic 6 na mchezo kumalizika kwa sare
Wachezaji wa Electronic 6 wakipeana maelekezo


Msuni akitafuta namna ya kumpoka mpira mshambuliaji wa Electronic 6 










0 comments