Msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Abraham Sepetu amepigwa chini katika kura za maoni kugombea ubunge wa viti maalum Singida. Aysharose Mattembe ndiye ameibuka kidedea akimtupa kwa mbali Madam Wema aliyeshika nafasi ya nne.
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3.Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Kura hazijatosha
Singida kura za maoni CCM
— Maulid Kitenge (@mshambuliaji) July 24, 2015
0 comments