| Rais na Muasisi wa TWA Irene Kiwia akizungumza kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na taasisi ya TWA leo jijini Dar Es Salaam |
| Mtoa mada, Anna Chonjo Mariki kutoka Rex & Regina Attorneys akifafanua jambo kwa watoa mada wenzake kwenye kongamano la siku ya wanawake Duniani lililofanyika leo jijini Dar Es Salaam |
| Mama Zakia Meghji akizungumza jambo kwa wageni waalikwa |
| Judy Dlamini Mwenyekiti wa Mbekani Investment akizungumza kwa wageni waalikwa |
| wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini utoaji wa Tuzo |
| Washindi wote wakiwa kwenye picha ya pamoja |



0 comments