Watu husema kama unatakaja kujua umuhimu wa sekunde muulize mwana riadha aliyeshinda mbio, kama unataka ktjua umuhimu wa dakika muulize abiria aliyeachwa na treni na kama unataka kujua umuhimu wa mwaka muulize mwanafunzi aliyefeli mitihani yake.
Tunapaswa kutumia muda tuliokuwa nao kwa manufaa ya baada, muda wako ni sasa si kesho wala jana.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
TUNATATUA TATIZO LA COMPUTER YAKO
065 718 4421
065 714 8283 (habib)
www.aboodmsuni21.blogspot.com
0 comments