Saturday, 9 March 2013

VIHOJA VYA SMS: BIBI AGOMA KUPELEKWA MUHIMBILI KISA GAS

Bibi mmoja wa Mtwara alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kwa muda mrefu.
Hivi juzi akapelekwa hospital. Daktari alipompima akamwambia yule bibi: "TUMBO LAKO LIMEJAA GESI itabidi tukupeleke Dar es salaam katika hospitali ya Muhimbili ukafanyiwe upasuaji".

Bibi kusikia vile ghafla akakurupuka mbio huku akipiga yowe akisema: "haiwezekani, hii gesi yangu natafuta MUWEKEZAJI mimi mwenyewa! Hii haipelekwi Dar es salaam ng'o! kwakweli Mungu ametujalia wana Mtwara, GESI BAHARINI HADI MATUMBONI!!"

--
MSUNI COMPUTER SOLUTION
NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
+255-657-148-283 (Habib)
+255-657-184-421 (Msuni)
www.aboodmsuni21.blogspot.com

0 comments