Wednesday, 18 June 2014

MASHABIKI WA BRAZUCA WAKUTWA NA MLIPUKO

By    
Mashabiki wa mpira wa miguu walio kuwa wanafuatilia mchezo wa kombe la
dunia katika mji wa Damaturu, kaskazini mwa Nigeria walikutana na
kizaaza cha mpliko wakati wanafuatilia fainali hizo zinazoendelea
chini Brazil.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wanasema mlipuko ulikuwa mkubwa
na makumi ya watu wanatarajiwa kuwa wameathiriwa.

Mpaka tunaingia mitamboni kulikuwa hakuna taarifa ya idadi kamili ya
watu walio athirika na tukio hilo, wala bado hakija julikana chanzo
cha mlipuko huo.

Katika siku za hivi karibuni nchini Nigeria kumekuwa na ripoti
mbalimbali za uvunjifu wa amani.

0 comments