Monday, 10 June 2013

DOGO ALIPO PELEKA MAOMBI YA KUTOLEWA DARASA LA 3 NA KUINGIZWA DARASA 4

Na  Cheka Upate AFYA
.
dogo:mwalimu mimi nataka kusoma darasa la nne maake hili la tatu halinifai,nina akili sana


mwalimu:mmh hebu nikuulize maswali


dogo:sawa


mwalimu:kwenye ndege kuna matofali 20 ukidondosha moja chini yanabaki mangapi?


Dogo:hili swali rahisi mno,yatabaki 19


mwalimu:nipe hatua za kumweka tembo kwenye fridge


dogo:unafungua fridge,unamuing ­iza tembo kisha unafunga friji


mwalimu:nipe hatua za kumweka nyani kwenye fridge


dogo:unafungua fridge na kumtoa huyo tembo ulemweka kwanza kisha unamuingiza nyani


mwalimu:simba anasherehekea siku yake ya kuzaliwa,wanyam ­a wote wapo kasoro mmoja tu Ni nani na kwa nn?


dogo:ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye fridge


mwalimu:bibi kizee amevuka mto wenye mamba na viboko wengi,aliwezaje ­?


dogo:amevuka kwa sababu wanyama wote walikuwa kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya simba


mwalimu:sawa,in ­gawa bibi alivuka mto,mwishowe alifariki,unadh ­ani kwa nin?


dogo:alikufa kwa kudondokewa na tofali kutokakwenye ndege,kwenye yale 20 tulopakia na baade kudondosha moja chini


mwalimu:huyu dogo akasome chuo kikuu. Anajibu mambo ambayo hata mm nisingeyajua


mpe jina huyu dogo. Ww ungeweza kujibu hayamaswali?



0 comments