Monday, 10 June 2013

MUHADHIRI WA CHUO ATEMBEZWA UCHI MITAANI


 


MUHADHIRI WA CHUO ATEMBEZWA UCHI MITAANI KWA BAADA YA KUOMBA PENZI LA MWANAFUNZI HUKU AKITISHIA KUMFELISHA!.

Mhadhiri huyo wa chuo cha Delta State nchini Nigeria alijikuta katika wakati mgumu mara baada ya kuwekewa mtego na kunasa, hapo awali Mhadhiri huyu aliomba penzi kwa binti mmoja huku akitishia kumfelisha masomo, ndipo mrembo huyo alipotengeneza mazingira ya mtego na wakamnasa.

#### Tabia hii ya wahadhiri imeenea sana Africa na hata Bongo, Nini maoni yako?




0 comments