Na Abdallah H.I Sulayman
Jana nilikutana na link ya visitprofit.com katika moja ya group ndani ya facebook, ikisema "Hi..!! Jaman heb chekin hii link den muwape na wenzenu wafungue na wao wapate faida..!! http:// visitprofit.com/ ?ref=126735".
Link hiyo inakuambia unaweza kuvuna kwa siku dola 50 za marekani kwa siku na zaidi ya hapo kwa ku share link utakaopewa katika mitandao ya kijamii na kila watu wanavyo ingia kupitia link uliyopewa ndivyo unavyo pata zaidi.
Mie bila ajizi nikajiunga na kuanza kuisambaza link hiyo katika mitandao ya kijamii ikiwemo katika facebook account yangu na twitter pamoja na post zote zilizowekwa katika blog za SPORTS IN BONGO na TEMBEZI ZA MSUNI zilikuwa na background link niliyo pewa na kwa masaa 12 nilikuwa nimeandikiwa kuvuna $18, ndipo wasiwasi ukaanza kuniingia.
Ndipo nilipo rudi kuvisoma tena upya vipengele vyao kwa kina na kuvikuta vinapishana, nnje ya hapo nikawa najiuliza mbona hakukuwa na security identification ambayo huwemo katika usajili wa accounti zote ambazo zinajihusisha na vitu nyeti kama hiyo.
Vile vile hakukuwa na terms of agreement katika sehemu ya kujisajili na hivyo wasiwasi kuniingia na kuamua kumuarifu mdogo wangu aliye Sudan aachane nao huku mie nikifanya utafiti zaidi kuhusu huu mtandao wa visitprofit.com na kampuni yao ya VISITPROFIT inc. Hizi ndizo nilizo kutana nazo katika utafiti wangu mfupi:
If you've landed on this page, you probably must have gotten a link from your friend or family on social networks like facebook, claiming that you can earn money online easily just by getting your link clicked by others. The link would have been something like- VisitProfit.com - Earning website for Students and House wife. The thing is the person who sent you the link wants you to register on the site so that he can "earn" a commission of $1 for each member he gets registered via his link bearing the referral id xxxx.
I myself was very annoyed when my facebook newsfeed was filled with such links. So I decided to do a bit of investigation and conclude once and for all whether visitprofit.com is a legit way to make money online or just a scam.
Registration Service Provided By:
Registered through:
Domain name:
Registrant Contact:WhoisGuard
WhoisGuard Protected ()
Fax:
Administrative Contact:
Technical Contact:
Status:
Name Servers:ns1.starfish.arvixe.com
ns2.starfish.arvixe.com
Creation date:
After reading all this, anyone with a little bit of common sense can easily say that Visitprofit.com is a 100% Scam.
Sponsored link -
Jana nilikutana na link ya visitprofit.com katika moja ya group ndani ya facebook, ikisema "Hi..!! Jaman heb chekin hii link den muwape na wenzenu wafungue na wao wapate faida..!! http://
Link hiyo inakuambia unaweza kuvuna kwa siku dola 50 za marekani kwa siku na zaidi ya hapo kwa ku share link utakaopewa katika mitandao ya kijamii na kila watu wanavyo ingia kupitia link uliyopewa ndivyo unavyo pata zaidi.
Mie bila ajizi nikajiunga na kuanza kuisambaza link hiyo katika mitandao ya kijamii ikiwemo katika facebook account yangu na twitter pamoja na post zote zilizowekwa katika blog za SPORTS IN BONGO na TEMBEZI ZA MSUNI zilikuwa na background link niliyo pewa na kwa masaa 12 nilikuwa nimeandikiwa kuvuna $18, ndipo wasiwasi ukaanza kuniingia.
Ndipo nilipo rudi kuvisoma tena upya vipengele vyao kwa kina na kuvikuta vinapishana, nnje ya hapo nikawa najiuliza mbona hakukuwa na security identification ambayo huwemo katika usajili wa accounti zote ambazo zinajihusisha na vitu nyeti kama hiyo.
Vile vile hakukuwa na terms of agreement katika sehemu ya kujisajili na hivyo wasiwasi kuniingia na kuamua kumuarifu mdogo wangu aliye Sudan aachane nao huku mie nikifanya utafiti zaidi kuhusu huu mtandao wa visitprofit.com na kampuni yao ya VISITPROFIT inc. Hizi ndizo nilizo kutana nazo katika utafiti wangu mfupi:
1. SEHEMU WANAPOPATA FEDHA,
Katika
mtandao wao wanadai wanapata fedha kupitia matangazo ya bidhaa yaliyopo
katika mtandao kwa kupata watembeleaji wengi. Ambapo mtandao huo hauna
tangazo lolote lile zaidi ya la Western Union na Paypal ambayo yamo
kuashiria namna wanavyo kutumia fedha zako.
2. NAMNA YA KUPATA FEDHA NYINGI
Katika
ukurasa wanyumbani 'Home page' kabla ya kujisajili ama kusign in,
unaambiwa ukiwa na user 20 unapata $20 kwa mwezi na kuongezeka kadri
user wanavyo ongezeka, vilevile kunaeleza kuwa akiingia mtu chini yako,
na huyo wa chini yako akiingiza mtu basi na kiwango chako cha pesa
kinaongezeka kadri mtandao wako unavyo tanuka.
Uki
sign in unakuta maelezo tofauti ambayo yana kuambia kila ukimshawishi
mtu mmoja kutembelea mtandao huo unapata $1, huku kukiwa na eneo linalo
onyesha idadi ya watu walio ingia kupitia link yako uliyopewa sambamba
na fedha ulizo kusanya, kukiwa hakuna eneo la kuonyesha wangapi
waliojisajili kupitia link yako
3. TAARIFA KUHUSU MTANDAO WAO NA KAMPUNI YAO KATIKA MITANDAO MINGINE
Baada
ya kuzidi kuingiwa na mashaka ndipo nilipo amu kuingia google na ku
google link yao, ambapo majawabu niliyo yapata nikuwa link hiyo ni "SCAM
link".
PITIA MWENYEWE TAARIFA TOKA JAMII FORUM
Visitprofit.com - Scam or Legit?
Visitprofit.com - Scam or Legit?If you've landed on this page, you probably must have gotten a link from your friend or family on social networks like facebook, claiming that you can earn money online easily just by getting your link clicked by others. The link would have been something like- VisitProfit.com - Earning website for Students and House wife. The thing is the person who sent you the link wants you to register on the site so that he can "earn" a commission of $1 for each member he gets registered via his link bearing the referral id xxxx.
I myself was very annoyed when my facebook newsfeed was filled with such links. So I decided to do a bit of investigation and conclude once and for all whether visitprofit.com is a legit way to make money online or just a scam.
- Firstly, the site is very new. It was started by late May 2013, yet the site says it's a large scale company started in 2010.
Below is the entire information of the site from whois.net.
Registration Service Provided By:
Namecheap.com
Contact:
support@namecheap.com
Visit: http://namecheap.comRegistered through:
eNom, Inc.
Domain name:
visitprofit.com
Registrant Contact:WhoisGuard
WhoisGuard Protected ()
Fax:
11400 W. Olympic Blvd. Suite 200
Los Angeles, CA 90064
USLos Angeles, CA 90064
Administrative Contact:
WhoisGuard
WhoisGuard Protected (93ce4adb7c3849daa1d6a378b5bad4 e3.protect@whoisguard.com)
+1.6613102107
Fax: WhoisGuard Protected (93ce4adb7c3849daa1d6a378b5bad4 e3.protect@whoisguard.com)
+1.6613102107
+1.6613102107
11400 W. Olympic Blvd. Suite 200
Los Angeles, CA 90064
US11400 W. Olympic Blvd. Suite 200
Los Angeles, CA 90064
Technical Contact:
WhoisGuard
WhoisGuard Protected (93ce4adb7c3849daa1d6a378b5bad4 e3.protect@whoisguard.com)
+1.6613102107
Fax: WhoisGuard Protected (93ce4adb7c3849daa1d6a378b5bad4 e3.protect@whoisguard.com)
+1.6613102107
+1.6613102107
11400 W. Olympic Blvd. Suite 200
Los Angeles, CA 90064
US11400 W. Olympic Blvd. Suite 200
Los Angeles, CA 90064
Status:
Locked
Name Servers:ns1.starfish.arvixe.com
ns2.starfish.arvixe.com
Creation date:
10 May 2013 08:59:00
Expiration date:
10 May 2014 00:59:00
Pay close attention to the above two lines. Weird isn't it?- There isn't a feature to stop automated robots from spamming or registering in the site. Pretty amateur for a 'large scale company' don't you think?
- Visitprofit.com does not have Secure http (https). Hence the site can be easily hacked.
- Fake testimonials - The site says, David earns $2000 per month working from home and provides a link to read the entire story of David. When you click on the link, what actually happens is, you are re-directed to an ad.fly advertisement network. So whenever curious people like you and I click on the link, visitprofit earns some money. So, the testimonial must definitely be fake.
- No TOS (Terms Of Service/Agreement). Which means who have no control/rights whatsoever. Whatever visitprofit does is their wish. Suppose they cheat, you can't argue with them.
After reading all this, anyone with a little bit of common sense can easily say that Visitprofit.com is a 100% Scam.
Sponsored link -
MWISHO WA NUKUU TOKA JAMII FORUM. NUKUU NYINGENI NILIYO KUTANA NAYO INASEMA:
SITE IS NOT BLACKLISTED
The website is not blacklisted by trusted security services such as Google SafeBrowsing, ThreatLog and MalwareDomainList. This means the website should be safe to visit and should not be used to distribute malware or trojans.BAD TRUSTWORTHINESS
The website has a poor trustworthiness score in the WOT (Web of Trust) reputation and it is recommended to avoid to browse the website, click links or enter personal or financial information. May indicate Internet scams, identity theft risks, credit card fraud, phishing, viruses, spyware.BAD VENDOR RELIABILITY
The website has a poor vendor reliability score in the WOT (Web of Trust) reputation, this means someone had a bad shopping experience or the website is not reliable for business transactions in general. Generally a poor rating indicates possible fraud.WEBSITE SEEMS POPULAR
The website seems to be popular in Internet, this means the website is visited by at least some users and it has few backlinks from other websites, according to Alexa and Google.GOOD SOCIAL NETWORK PRESENCE
We have searched the website address in the most popular social networks to see how many users have shared it and we have found in total 3,384 links, that indicates the website is at least popular in social networks.WEBSITE IS VERY NEW
The domain name of the website was 1st registered only 3 months ago, this means the website is very new and we cannot judge the safety of this website yet. Every business has to start and we cannot judge a website as a scam only because it is new, but as always we should be cautious.SITE TITLE
VisitProfit.com - Earning website for Students and House wifeSITE DESCRIPTION
No page description found.DOMAIN DETAILS
Domain Address | visitprofit.com |
Hash String | 2a564175893c3035e9859f79c2ddcba8 |
Domain Registered | 2013-05-10 (3 months ago) |
Domain Name Length | 15 characters |
Google Page Rank | |
Alexa Rank | 90,242 |
IP ADDRESS INFORMATION
IP Address | 198.252.65.4 |
Hostname | stats.starfish.arvixe.com |
ASN | Unknown |
ASN Owner | Unknown |
Continent | Unknown |
Country Code | Unknown |
Latitude / Longitude | Unknown |
City | Unknown |
Region | Unknown |
NAME SERVERS
ns2.starfish.arvixe.com | 198.252.65.4 |
ns1.starfish.arvixe.com | 108.168.219.169 |
MYWOT RATINGS
View the scorecard for more details →Trustworthiness | 1 Very poor |
Vendor Reliability | 1 Very poor |
Privacy | 1 Very poor |
Child Safety | Unknown |
SOCIAL NETWORK PRESENCE
Facebook Shares | 2,427 |
Facebook Likes | 297 |
Facebook Comments | 103 |
Twitter Backlinks | 509 |
Google Plus Shares | 45 |
Delicious Posts | 3 |
0 comments